GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, March 7, 2012

The Wedding of Richard and Dina Onja kidogo tu jinsi mambo yalivyojiri.


Hongereni sana Richard and Dina. Safi

Safi sana hakika Dina ulilitendea haki hili gauni


Nice

Safi sana Richard hakika umelitendea haki hilo jumba-Suti


Swagga la baba Mwenye nyumba.Nice

In Love

Nimekubali hili SwaggaMaharusi wakiwa na wasimamizi wao

Dina akiwa na Matron
Kanisa walikofungia pingu za maisha

Pingu

Richard akimtandika pingu Dina

Dina akimtandika pingu Richard


First Kiss kama Mume na Mke!

Kicheko baada ya Kutandikana pingu.  Safi sana na Hongereni sana. 

NiceSwagga la Mwenye wivu ajinyonge

Ukumbi

Keki. Dah nimeikubali hi.

Hakika Mpambaji aliutendea hakiDr Cheni alikuwa MCSafi sana siku hi pia ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa Dada
Nimependa hi maharusi walibadilisha nguo ili walisakate rumba sawasawa. Nice. 


Jamani Mwisho wakunuku.