GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, March 6, 2012

The Wedding of Fredrick and Christine. Na beep kidogo tu jinsi mambo yalivyo jiri

Fredrick and Christine safi sana hakika mlipendeza sana

NiceHakika Christine alilitendea haki gauni lake la harusi

Maharusi wakiwa na wasimamizi wao. Safi sana. Bestman na Matron
Swagga la Baba Mwenye Nyumba
Safi sana

Pingu 
First Dance

Jamani Mwisho wakunuku