GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, March 2, 2012

Grace's Day Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!.

Grace hakika ulipendeza sana

Nice. Hakika hili gauni ulilitendea haki

SafiGrace akiwa na Matron wake Rehema. Safi sana

NiceSwagga la Mwenye wivu ajinyonge!


Grace akitowa swagga na mume wake mtarajiwa. Ila kwasasa wameshakuwa Mume na Mke. Safi sana

Grace akiwa na Rehema aka Matron

Levina Naye alikuweko

Rehema


Grace

Tedy akiwa na Rehema aka mama Makupa aka Kova

Rehema Safi sana. 
The Family

Upendo kwa mama


Nice. Inapendezaga sana kwenye sendoff party  mume mtarajiwa hajifichi wala kuogopa kutowa maswaaga. Safi sana

Mume Mtarajiwa wa Grace akiwa na Bestman Mtarajiwa. 


Nice
Safi


Kulia namuona Solo katika pozi

Tedy akiwa na Rehema aka Kova. Nakumbuka wiki moja kabla ya hi Shuhuli ya Grace naye Tedy alifunga pingu. Na nilishawaonjesha jinsi mambo yalivyojiri


Kova akitowa Swagga. Nice

NiceKeki ya Kumuaga Grace. Kama sijakosea Dada Janeti aliitengeneza hi keki. Nahisi hata mimi namdai dada Janeti keki alipromise kunipa zawadi


Nakumbuka katika usiku huu wa Grace pia ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa Shangazi. Safi sana

BBM


Nice

Kaka yake Bi Harusi mtarajiwa akiwa makini kabisa akikata ndafu


Jamani Mwisho wakunuku. Nisije maliza uhondo wote. Nawatakia week end Njema wadau wote wa GRM Production