![]() |
| Grace hakika ulipendeza sana |
![]() |
| Nice. Hakika hili gauni ulilitendea haki |
![]() |
| Safi |
![]() |
| Grace akiwa na Matron wake Rehema. Safi sana |
![]() |
| Nice |
![]() |
| Swagga la Mwenye wivu ajinyonge! |
![]() |
| Grace akitowa swagga na mume wake mtarajiwa. Ila kwasasa wameshakuwa Mume na Mke. Safi sana |
![]() |
| Grace akiwa na Rehema aka Matron |
![]() |
| Levina Naye alikuweko |
![]() |
| Rehema |
![]() |
| Grace |
![]() |
| Tedy akiwa na Rehema aka mama Makupa aka Kova |
![]() |
| Rehema Safi sana. |
![]() |
| The Family |
![]() |
| Upendo kwa mama |
![]() |
| Nice. Inapendezaga sana kwenye sendoff party mume mtarajiwa hajifichi wala kuogopa kutowa maswaaga. Safi sana |
![]() |
| Mume Mtarajiwa wa Grace akiwa na Bestman Mtarajiwa. |
![]() |
| Nice |
![]() |
| Safi |
![]() |
| Kulia namuona Solo katika pozi |
![]() |
| Tedy akiwa na Rehema aka Kova. Nakumbuka wiki moja kabla ya hi Shuhuli ya Grace naye Tedy alifunga pingu. Na nilishawaonjesha jinsi mambo yalivyojiri |
![]() |
| Kova akitowa Swagga. Nice |
![]() |
| Nice |
![]() |
| Keki ya Kumuaga Grace. Kama sijakosea Dada Janeti aliitengeneza hi keki. Nahisi hata mimi namdai dada Janeti keki alipromise kunipa zawadi |
![]() |
| Nakumbuka katika usiku huu wa Grace pia ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa Shangazi. Safi sana |
![]() |
| BBM |
![]() |
| Nice |
![]() |
| Kaka yake Bi Harusi mtarajiwa akiwa makini kabisa akikata ndafu |
![]() |
| Jamani Mwisho wakunuku. Nisije maliza uhondo wote. Nawatakia week end Njema wadau wote wa GRM Production |


























































































du! kwa kweli ilipendeza sana
ReplyDeleteKweli si mchezo, jamaa wengine wanatamani kurudia harusi zao!!!!
ReplyDeleteThe ceremony was awesome!jamani bi harusi alikuwa so happy and so natural, i trully like the colors and the way she presents herself!Grace always smiles,love u gurl
ReplyDelete