GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, February 29, 2012

The Wedding of Emmanuel and Noreen. Na beep kidogo tu jinsi mambo yalivyojiri kwenye Mobile studio!

Emmanuel na Noreen. Safi sana hakika mlipendeza sana

Nice

Safi sanaSafi sana


Nimekubali


In Love

Swagga la Baba Mwenyenyumba

Hakika Emmanuel umeitendea haki suti Dah!Maharusi wakiwa na Bestman na Matron


Noreen akiwa na MatronBest man akiwa na Matron. Hawako ki kazi bali ni kifamilia zaidi nikimaanisha MR and Mrs. Safi sana


Nice


Kaka wa Bwana Harusi


Bi Harusi akiwa na The Girls

Upendo kwa kaka. Safi sana

Manzari ya ukumbini. Lakini hapa ilikuwa mapema sana


Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa Kiramo-Mbezi

Jamani mwisho wakunukuu