GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, February 23, 2012

The Wedding of Peter and Theresia na beep kidogo tu jinsi mambo yalivyojiri

Peter na Theresia Safi sana hakika mlipendeza sana


In Love


Swagga la Baba Mwenyenyumba


Theresia aka mke wa Peter. Na mwenye wivu ajinyonge!
In Love


Maharusi wakiwa na wasimamizi wao. Safi sana

Namuona Julie akiwa na Zee Husband Steve. Safi sana 

Kama ObamaNice

Theresia akiwa na the Girls. Safi sanaPeter akiwa katika Swagga Hatarishi !. Safi sana


Nimewakubali hakika Suti zilitendewa haki


Upendo kwa wazazi
Dada wa bi Harusi akiwasili kanisani Safi sana

Dada wa Bi harusi akimuongoza pacha mwenzake Theresia  kwenda kufunga pingu.  Safi sana.


Pingu
Kinywaji kitakatifu


Kulwa na Doto

Kamati ikitowa burudani

Jamani mwisho wa kunuku!