GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, February 16, 2012

Jinsi Kampuni ya Ensol ilivyo sherekea Miaka kumi tangu kuanzishwa kwake hapa Nchini (10th Anniversary) Na sherehe yenyewe iliratibiwa na Inner Space Afica Co.Ltd

Jamani Kampuni ya Ensol inahusika na kuuza na kufunga vifaa vya umeme juwa. Solar Energy. 

Mkurugenzi wa kampuni ya Ensol akitoa maelekezo kwa Mgeni rasmi.

Energy with a smile


Mgeni Rasmi aki sign kitabu cha wageni

Mkurugenzi wa Ensol
Waandishi wa habari walikuweko. Hapa wakimhoji mgeni rasmi

Namuona Mkurugenzi wa Inner Space Afica Bi Liz Wachuka akiteta jambo na Mgeni rasmi. Kama sijakosea hapa mgeni rasmi alikuwa akicheki Liz akituma picha za event kwenye Facebook page. Jamani  unaweza kupata contact za Inner Space Africa Co. Ltd kwa kuzama huku.
www.ispaceafrica.com

Hakika  Inner Space nimewakubali
Baada ya maonyesho yaliyo fanyika mchana kulikuwa na chakula cha Jioni. Na hivi ndivyo mambo yalivyokuwaSherehe ilifanyika katika ukumbi wa makumbusho ya taifaDah mbona kama huyu mkurugenzi anafanana na  .....JK..Auncle Michuzi naye alikuweko


Katika chakula cha jioni kilicho andaliwa na kampuni ya Ensol kwa ajili ya wadau mbalimbali mgeni rasmi alikuwa Mr Ali Mfuruki


Wakurugenzi wakiteta jambo


Wadau

Mc wa shuhuliBi Liz MD wa Inner Space Africa katikati akitafakari jambo wakati shuhuli ikiendelea. Nazani alikuwa anatowa muongozo 
Mgeni rasmi Mr A. Mfuruki


Mgeni rasmi akizindua Nembo mpya


ChiersPia Mgeni rasmi alizindua tovuti ya Ensol na hivi ndivyo mambo yalivyo kuwa
Uzinduzi ukifanyika kwa umakini kabisa


www.ensol.co.tzJamani kwaleo ngoja tuishie hapa. Ila ukitaka kujuwa zaidi kuhusu Ensol ingia kwenye web yao hapa
www.ensol.co.tz