GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, February 21, 2012

Elizabeth's Night Na Beep kidogo tu jinsi mambo yalivyojiri kwenye Zulia Jekundu!

Elizabeth Safi sana Hakika ulipendeza sana na huu ulikuwa usiku wa kipeke. Hongera sana Dada


Nice


Hongera sana Mheshimiwa

Safi sana hakika Elizabeth ulilitendea haki hili gauni.


Hongereni sana hakika sasahivi ni Mr and Mrs


Nimekubali


Nice. Huwa nakubali maswagga yako

Nice

Huyu ndiye alikuwa MC wa shuhuli. Kaka yangu H-son


Waheshimiwa walikuweko na walitowa maswagga. Safi sanaBaazi ya wanakamati. Safi sana kweli mko juu.


Safi sana

Safi sana Mheshimiwa.


Rais wetu msahafu naye alikuweko. Safi sana. Hapa alikuwa anasine kitabu cha wageniMheshimiwa akilitendea haki Zulia Lekundu. Safi sana
Elizabeth akiingia ukumbini. Safi sana
Burudani zikiedeleaSafi sana


Elizabeth alipokuwa anamkaribisha mume wake mtarajiwa kwenye chakula cha jioni. Ila sasahivi ni Mume fullMaswagga ya MC


Mkono wa pongeziJamani mwisho wakunuku. Ukitaka kupata uhondo zaidi basi wasiliana na Elizabeth