GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, July 11, 2012

The Wedding of Patricia and Nyamo. Na beep kidogo tu. Chakula bado kiko jikoni


Patricia and Nyamo. Safi sana hakika mlipendeza sana


Hakika Patricia alilitendea haki gauni  lake la harusiDah Nyamo umetenda haki kwenye hicho kidole. Safi sanaSwagga la Baba mwenye nyumba


Bestman


MatronThe Boys. Safi sana

The Girls Safi sana hakika mlipendeza sana. 

Upendo kwa kaka's


The Family
Dah nimeikubali hi keki Safi sana
Kweli Patricia na Nyamo mlipanga vyema kabisa hi siku muhimu katika maisha yenu.. Nilipenda jinsi mlivyobadilisha nguo . Safi sana


Safi sana wewe Chezea AfiaSafi sana naona kitu cha CL

Safi swagga la mama mwenye nyumba
Dah safi sana Zivu , dada 'Jo ' safi sana
Baba safi sana


Nice Hakika mmependeza


Dah jamani kwaleo naomba niishie hapa. Yani kunamaswagga yakufa mtu sema ndio muda hauruhusu.