GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, July 9, 2012

The Wedding of Victor Mponzi and Nimpher. Onja kidogo chakula bado kiko jikoni!

Victor and Nimpher. Safi sana Hakika mlipendeza sana

Maharusi wakiwa na wasimamizi wao. Best man na MatronSwagga la baba mwenye Nyumba


Bestman na Matron-Wakiwa kikazi zaidi!

The Girls
Safi sana


Nice

Victor akiwa katika swagga hatarishi!Nimekubali baba. Nimpende nani ...... Nimpher!Upendo kwa wazazi

Maharusi wakiingia kanisani


Mchungaji akishusha Neno Takatifu
Maharusi wakipata Baraka

Pingu
Ukumbi wa kiramoo. Hakika Mpambaji aliutendea haki.


JamaniMwisho wakunuku! Chakula bado kiko jikoni