![]() |
Dah sijawahi ona Mkandarasi anayefanya kazi kwa usafi kama hawa Waturuki aka Yapi Merkezi |
![]() |
Hizi picha nazani wajuku zangu watakuwa wanashangaa sana Babu uliwezaje piga picha hapo sahizo nimesha RIP @@@ |
Kwa Mapicha zaidi zama hapa kwenye read more
![]() |
Yani ukiwa safarini utakuwa unaona mazingira haya. Haya majani yana wiki 3 tuu toka yapandwe. Sasa baada ya mwaka itakuwaje. nishaona tenda hapa yakukata na ku maintain garden pembeni ya SGR line |
![]() |
Mkongo wa Taifa- Mambo ya Internet |
![]() |
Hapa ni Dsm hii SGR itakuwa inapita juu kama KM 20 hivi kuanzia mjini kutoka nje ya jiji. Soo kutakuwa hakuna mambo ya foleni |
![]() |
Simchezo. |
Kwa Mapicha zaidi zama hapa kwenye read more
![]() |
Eng Vero -ERB, Eng Barozi ERB na Msimamizi wa Mradi toka TRL wakiwa na Mkandarasi wa SGR |
![]() |
Ujenzi imara |
![]() | ||
|
![]() |
ERB iliwapeleka ma Eng wakike kutembelea Mradi wa SGR iliwapate mafunzo kwa vitendo |
![]() |
Mambo ya site |
![]() |
Hii Inatengenezwa hapa hapa Tanzania |
![]() |
vituo vya Treni |
![]() |
Camp ya Mkandarasi Yapi Merkezi |
![]() |
Mkandarasi akituelezea progress ya Mradi |
![]() |
Picha ya Pamoja |
![]() |
Kiwanda cha kutengenezea haya Mataruma-Sijui kama ndio jina lake auu@@ |
![]() |
Mwisho wa kunuku. Ziara nyingine itakuwa Mwakani! |
No comments:
Post a Comment