GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, January 30, 2019

Happy New Year 2019 Wadau wa GRM Production!

Happy New Year wadau wa Grm Production. Well tunamshukuru Mungu tumevuka salama ingawa tuliaga mwaka kwa msiba wa ndugu yetu  but mambo yalikwenda salama. Na sasa tumerejea kazini kwa nguvu mpya na kasi mpya
Salam za Mwaka Mpya kutoka kwa super model wenu Simon & Sasha

Lol Kweli Siku zinakwenda Simon Kaingia  Form 1. Well thanks alifaulu mtiani wake wa Darasa la Saba. Sasha kaingia darasa la V
Lol Mpaka mwakani huyu siatanipita urefu @@ 
Nawatakia mwaka mpya wenye mafanikio na Furaha tele.
Kama Kawaida mwaka mpya, Vifaa vipyaa na Technology mpya.
Baada ya Kwaresma ndio unakuwaga mwaka mpya wetu wa ki production!


No comments:

Post a Comment