Event: Kilimanjaro Marathon 2019
Location: Moshi Shanty Town- Lema Road
Photography: Gabriel Makupa
Distance: 3KM kabla ya kufika Mwisho wa Marathon
Simchezo nimewakubali hawa. Mtanzania alishinda mbio za KM 21. Safi sana. Yani walipita kama Upepo |
Nilikuwa na Test Mitambo lol. Wacha nibaki na Fani yangu Picha Lol . Yani nilijaribu kukimbia nikahisi figo imedondoka kwa Ndani ya Mwili 😀 But one day nitaingia uwanjani. |
Lol Mwaka Huu wacha mashabiki wa Arsenal tuanze kujitokeza taratibu. Tumeteseka sana 💪 |
Test Mitambo |
Yani hawa jamaa wamepita kama baada ya dakika 8 ndio unaanza kuona watu wengine. Sijui wanamapafu ya Chui 😂😂 |
Yani Wanaruka sio kukimbia 😅😅 |
Due speed 200. NB Nilikuwa napiga Pix kadri watu wanavyopita. Soo kwa mtiririko wa picha unaweza juwa nani alimaliza mapema |
Hawa Profesional kumbe wanaruka |
Duuuu |
Swagga la Mambo ni mengi muda ni mchache |
Nazani huyu dada alishinda upande wa Wanawake KM 21 simchezo 👏 |
Duuu safi. Alafu unakuja kumzingua lol Kapita wanaume kibao |
Safi |
Ukiona Mwili unataka kulipuka unapigwa maji |
Nazani hapa anahisi figo imedondoka😀 Tuache utani kichomi kinauma lol |
Kwa Picha zaidi zama hapa kwenye read more
Jamboooo |
Dah Safi sana |
Mzee Baba Alikuwa anashangiliwa |
Mpaka naingia mitamboni huyu dogo sijamuelewa |
Due nimemkubali huyu mzee baba. Safi sana |
Mambo yakiwa magumu unapa maji. Ndio raha ya Kilimarathon. |
Safi Frank Kaaya |
Safi wakilisha Regency Hotel |
Swagga |
Nimekubali Mama na Mtoto |
Dogo atakuja kutisha baadae |
Mwakani Mungu akipenda nitakusubiri hapa hapa kwenye hii kona |
Km 42 lol mwili umejaa misuli. |
Jambo sio Mchezo |
Jamaa anampita kama Upepo. hapo kashakimbia KM 38 |
Safi |
simchezo. Hapa mume wake nazani hula hachelewi kurudi nyumbani 😅 Unaanzaje |
Safi |
Safi I. Kajula. Tutakutana Morogoro |
Babuuuu. Safi. Mwakani nipo mitamboni napiga 42 😅 |
Mzee baba akinyoosha misuli. haps bado KM 3 kumaliza |
Wewe yani jioni tunapiga kinywaji kumbe unajifua. Maana nilikuwa nashanga mzee unameza maneno zaidi ya Piereee alafu uko fiti 😆 |
Safi |
Lol nimekumbruka ile Movie ya Karate Kid😆 |
Swagga |
McDonald safi |
Jamboooo |
Aika Mbeeeee |
Mpaka naingia mitamboni nilikuwa sijapata more info 😆 |
Safi |
safi |
Kimori safi |
Hakikisha Mwekezaji anamaliza mbio 😆 |
AdV Semu Safi sana |
Safi |
101 aka Babu. Mwakani tuko pamoja |
safi |
Safi |
Mr Mafuru |
safi |
Morgan. Mzee tukutane Tanga Marathon |
safi |
Jambooo |
Safi |
Nice |
Safiiiiiii |
Jamboo okeyyyyy bado KM 3 in Siri Voice😆 |
Safi HK. Tukutane Tanga Marathon |
Safi |
Okeyyyyyyyy |
Its😀 okey okeyyyyyy |
Nice |
Safi |
Its Okey Okeyyyyy😆 |
Safi |
Hapa Konki aka piereee hawezi lipa hiiiiii😆 |
Mwisho wa Kunuku. Tutakutana Next time. |
No comments:
Post a Comment