![]() |
Dah hakika hi sehemu inafaa kwa maharusi kuja kupumzika. Unasikia kelele za ndege tu. Ndarakwai ina eneo lenye ukubwa wa 11,000 acre |
![]() |
Ukija hapa Ndarakwai utapata 1. Day Drives-Game Drivers in open Vehicles 2.Walks. Half and full day guided walks from the camp. 3.Kilimanjaro clims by Shira Route 4. Day trips from Ndarakwai Ranch For more info www.ndarakwai.com |
![]() |
Dah Sasha akichekelea kulala kwenye Hema kwa mara yakwanza. kila saa anauliza wanyama hawawezi kuja kutumeza. |
![]() |
Dah hakika nimeikubali hi camp. iko porini janami. Kweli mtu unasahau matatizo yote ukiwa huku. |
![]() |
Dah jamani tulikula nyama. Hapo simon anashanga kuona nyama ikichomwa kimasai zaidi |
![]() |
Dah nimekubali ndarakwai. |
![]() |
Kutokana na wingi wa nyama ilibidi tuhamie Digital |
![]() |
Rehema akikata nyama |
![]() |
Dah ikabidi namimi nidokoe kidogo kabla haijaiva. maana udenda ulikuwa unanitoka |
![]() |
Ngasa alikuweko |
![]() |
Kifamilia zaidi safi sana |
![]() |
Simon akipiga msosi |
![]() |
Safi |
![]() |
Nice |
![]() |
Safi-Kifamilia zaidi |
![]() |
Safi sana. Nimekubali maswagga |
![]() |
Tukijianda kwenda kuangalia wanyama hapa hapa ndarakwai. Tuliona Elephant, Zebra, Eland, Giraffe, Waterbuck, impala, yellow baboon etc |
![]() |
Dereva wetu. Safi sana |
![]() |
Hakika watoto walifurahi sana |
![]() |
unaweza kuwapigia Ndarakwai camp +255 784 428 584 |
![]() |
Dah jamani mwisho wakunuku. Nitawaletea utali wandani part 2 |
No comments:
Post a Comment