GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, January 3, 2013

Happy Birthday Super Model wetu Simon Makupa!

Happy birthday Simon Makupa-Super model wetu. 

Hongera sana Simon

Kweli umekuwa kidume -7yrs old


Nikatowa swagga na Simon kutokea kijijiniNikimpa maneno ya busara

Family MomentMaswagga mapya ya 2013. Kidigital zaidi. Huo ni ujumbe wa shasha. Anasema tukae mkao wakula


Sawa tunasubiri maswagga mapya

Safi sana Rehema akitowa swagga. Kifamilia zaidi


Nice
Dah kweli haka kalikizo katamuu

Safi 
Simon akiwa na masaa matatu duniani. Ilikuwa siku kama ya leoNakumbuka hi picha ilikuwa ni mwezi mmoja baada ya Sasha kuzaliwa. hapa ndio tulikuwa tumewasili uchagani

Super model wetu alipokuwa anakwenda shule kwa mara ya kwanza

Simon alipokuwa akibatizwa. alianguwa kilio balaaa 


Baiskeli ya kwanza ya simon alipewa na babu yake RIP  RN Mboma


Msani wa kwanza kumbeba simon alikuwa ni L. Mbutu-Twanga pepeta


babu yangu mdogo akitowa swagga nakumbuka ilikuwa ni 2007

Babu Yangu mdogo alimpa simon Ndafu-Beberu kama njia ya kumpokea mjukuu. Nakumbuka alikuwa mtamu balaaa. Mababu 
Nikitowa swagga na Bibi yangu. Bado yuko fiti. anasema enzi zake alikuwa Miss Marangu


Bibi yangu 

kweli 2013 tujiandae na maswagga mapyaSafi
Sawa nimekubali
Simon akichinja mbuzi . Kashakuwa meku


Sasha yeye anatowa swagga tuuu. kweli kazi iko!

Baba wa Xmass alimpa zawadi ya gitaa Sasha. basi sikuhiyo hakulalaDah kumbe unachunguliaga maswaaga ya maharusi . Haya Sasha nimekubali

Jamani kwaleo ninaishia hapa. Ngoja nikakamate ndafu kidogo! Kidigital zaidi!