GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, January 3, 2013

Happy New Year wadau wa GRM Production. Karibu 2013. Kidigital zaidi!

Kwa niaba ya Grm Prodaction napenda kuchukuwa fursa hi kwa kuwatakia Mafanikio mema yenye baraka, Amani na Upendo wadau wetu wote katika mwaka hu 2013

Binafsi kwakweli hu ulikuwa ni mwaka mgumu ila tunashukuru bado tuko hai na tunanguvu ya kupambana. Aksanteni sana kwa sapport mliyo tupa mpaka tukafika hapa tulipo. Mungu awabariki sana.

Bado tuko katika mapumziko mafupi na kazi tutaanza rasmi tarehe 7-01-2013 ndio maana nimepotea kidogo.