GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, April 16, 2015

Monica's Night. Onja kidogot jinsi mambo yalivyojiri!


Hakika Monica alipendeza sana

Nice
Hakika Monica alilitendea haki gauni lake la harusi
Monica akiwa na Matron wake. Safi sana
Nice
Upendo kwa Mama

Nice
Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi

Nimeikubali hii keki


Nice


Kwa Maswaga zaidi zama hapa kwenye Read moreUpendo kwa mama


Nice

Matron akitowa swagga


Upendo kwa Dada


Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa Danken House


Kitu kutoka Ufaransa. Safi sana- Zawadi kwa Mama

Respect Dj's walikuwa ndani ya nyumba

Baadhi ya wanakamati wakitowa swagga
Mheshimiwa Dr Mama Lwakatare alikiwasili ukumbini. Safi sana


Mc wa shuhuli Luvanda akifanya yake. Safi sana


Bibi Harusi mtarajiwa Monica akiingia ukumbini


Bwana harusi mtarajiwa akiwa na Bestman.

Siku ya sendoff huwa Ma -bwana harusi watarajiwa wanakuwaga wapole


Keki


Zawadi kwa mamaNamuona Mheshimiwa akiwa katulia


Zawadi kwa wakwe. Safi sanaZawadi kwa Kamati


Matron akifungua mzigo toka UfaransaNice


Kitu hakina kilevi.


Ni heshima ya kipeke. Safi sana


Lee Swagga safi sana


Jamani Mwisho wakunuku. Chakula bado kiko jikoni