GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, July 23, 2015

The Wedding of Deogratius and Mary. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!

Hakika Deogratius na Mary walitokelezea . Safi sana


Nice


Swagga la baba mwenye nyumba

Swagga la mama mwenye nyumbaMaharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman and Matron
Bestman and Matron


Hakika Mary alilitendea haki gauni lake la Harusi

Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi

Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read more


Upendo kwa wazazi

Maharusi wakiingia ukumbini


Safi sana @Florence
Keki

Ndafu

MC wa shuhuli


Swagga la binafsiNamuona Mozeeee akifanya yake. Safi sana
Swagga la Binafsi aka Selfie

Mwisho wakunuku