![]() |
Waziri Mkuu Mstaafu Mh Edward Lowassa akiwasalimia wanachama wa ccm Kibaha hapo juzi jumapili |
![]() |
Mama Regina Lowassa akiwasalimia wana ccm walio jitokeza kumdhamini Mh E Lowassa |
![]() |
Naona mama Kashaiva kwenye siasa. |
![]() |
Lowassa Oyeeeeeeeeee |
![]() |
Safi |
![]() |
Hakika mheshimiwa anakubalika. |
![]() |
Mh EL akiwasili katika ofisi za ccm Kibaha |
![]() |
Msafara wa Mh EL ukisindikizwa na wana bodaboda wa Kibaha |
![]() |
Mh EL akiwashukuru wana ccm wa kibaha kwa Kumdhamini |
![]() |
Nimeipenda hii nyele nyeupe , moshi mweupe, nyumba nyeupe == Mchaka mchaka wa Maendeleo |
![]() |
Mbunge wa kibaha akiwasalimia wana ccm wa Kibaha |
Kwa Mapicha zaidi zama hapa kwenye read more
![]() |
Kama vile style flani amazing ya kuva koti la suti. Labda ni macho yangu. |
![]() |
Pole kwa kazi Mkuuu |
![]() |
Mh EL akipokea baraka |
![]() |
Dada Viola akitowa Swagga za kikada. Safi sana |
![]() |
Kamanda kutoka Iringa. Safi sana |
![]() |
Mwisho wakunuku |
No comments:
Post a Comment