GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, June 29, 2015

Lowassa: Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri Kwenye ya safari ya matumaini -Mafuriko-katika Jiji la Dar es salaam

Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania Mh Edward Lowassa alipokuwa anawasili katika Jiji la Dar es salaam Juzi jumamosi.

Mh E. Lowassa akiwashukuru wanachama kwa kumdhamini. Huku bendera ya chama nayo ikitowa swagga.


Mchaka mchaka chinja, mchaka mchaka ....

Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu Mh E. Lowassa Mama Regina Lowassa akiwasalimia wana CCM.  Mama kanogaje sasa lol
CCM OyeeeeMh Kingunge alikuweko. Safi sana
Mheshimiwa akiwasili lol safi sana Ki upepo zaidi


Mheshimiwa akishuka kwenye ndege
Kwa mapicha zaidi zama hapa kwenye read more
Mheshimiwa E.L akipokelewa na Makada na waheshimiwa mbalimbali wa CCMSafi


Mheshimiwa EL akitabasamu baada ya kuwasili Katika ofisi za CCM LumumbaTeam Lowassa 


Mafuriko yalivyoikumba ofisi ya CCM- Lumumba
E.L akiwasili katika ofisi za CCM IlalaDah nimemkubali sana huyu kada kutoka Iringa lol. Kweli wakina  mama wako fiti


Mh EL akiwapongeza wanachama wa ccm kwa kumdhamini katika ofisi za  CCM Temeke


Dah hii ofisi ilizinduliwa 1954. 
Mh Kingunge akiwasili katika ofisi za ccm kinondoni kwa ajili ya kumpokea Mh E.L

Nice
Makada watarajiwa kutoka Chuo. Nice


CCM Oyeeeee ,Lowassa Oyeeeee, nazani haya ndiyo yalikuwa maongezi hapaMh JJ akiwa na Mh L. Masha


Mh EL akiwashukuru wanachama wa CCM Kinondoni kwa Kumdhamini 


Mafuriko katika ofisi za CCM Kinondoni

Nice. Nimeipenda hii pix. Kweli nimemtendea haki Mama R. Lowassa
Mwisho wakunuku