GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, June 26, 2015

Coming Soon the wedding of Kenny & Uki. Dokoa kidogo!

Hakika kenny na Uki walipendeza sana


Nice


The MomentThe Team
Hakika Mpambaji -Dada Dage aliutendea haki ukumbi wa Karim Mjee

Nimemkubali dada Dage kwasababu kupamba ukumbi wa nje mpaka utokeleze sio mchezo
Unaweza kuwasiliana na Dage kupitia +255 713 413 663Safi


Mwisho wakunuku. Nitawaletea maswagga kamili next week