GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, June 26, 2015

The Wedding of Lucas and Irene. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!

Hakika Lucas na Irene walipendeza sana. Nice

The Moment
Swagga la Baba mwenye nyumba

Swagga la mama mwenye nyumba
The Team
The Girls


Lucas akiwa na best-man wake. Safi sana

Hakika Irene alilitendea haki gauni lake la harusi. Safi sana

First Dance


Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa Serena Hotel


Nimekubali hii keki

Nimejikubali


Ukumbi wa Serena Hotel. Hakika nimeutendea hakiNice


NiceKwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye read more

Upendo kwa wazazi


SafiMc wa shuhuli. Safi sana


Dance


Glam madam akiwa katika pozi. G-Madam ndie aliyempamba Irene

Nice


Nice

The Moment


Mwisho wa kunuku. Kidigitali zaidi 'Mambo ya wireless'. Jamani nawatakia weekend njema