GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, October 5, 2015

Leah Night. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!

Hakika Leah alitokelezea. Safi sana

NiceHakika Leah alilitendea haki gauni lake la Sendoff


Leah akiwa na Matron wake


Nice Safi

Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read more
Upendo kwa wazazi

Kama kawa Dada Maznat alimtendea haki Leah
Upendo kwa wazaziMpambaji aliutendea haki ukumbi wa Mirado
Regina akiingia ukumbini

Kudumisha mila
Hii Mila nimeipenda lol . Kaka Dumisha mila


Keki

Safi
Mwisho wakunuku