GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, October 15, 2015

The Wedding of Patroba and Julieth. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!


Hakika Patroba na Julieth walitokelezea.

Nice


The Moment

SafiHakika Julieth alilitendea haki gauni lakela Harusi. Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman na Matron

The TeamSwagga la Baba Mwenye Nyumba


Kwa Maswagga zaidi zama hapa Kwenye Read more


Hakika Glam Madam alimtendea haki Julieth


Pingu za MaishaNimeikubali hi keki

Maharusi wakiingia ukumbiniMaharusi wakikata kekiMwisho wa kunuku