GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, October 12, 2016

The wedding of Lemigius and Caroline. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!


Hakika Lemigius na Caroline walitokelezea . Safi sana




Nice

Love


The First Kiss. Nimekubali hili Swagga


Caroline alipewa semina elekezi fupi jinsi  ya kukagua gari asubuhi kabla ya kuwasha. lol kweli ni wadada wachache sana huwa wanakagua gari asubuhi-kucheki oil na maji kabla ya kuwasha gari. 


Hakika Caroline alilitendea haki gauni lake. Safi sana



Swagga la mama mwenye nyumba




Swagga la baba mwenye nyumba



Nice


























Nice




Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye read more







Pingu za maisha





















Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi







Safi sana kijana wangu akiwa kazini . Mambo ya wireless. Manyaya nyaya hayakubaliki




Barnaba alikuwa ndani ya nyumba. 





















Keki


































Mwisho wa kunuku

No comments:

Post a Comment