| Hakika Jerry na Susan walitokelezea. safi sana |
| Nice |
| Hakika Suzan alilitendea haki gauni lake la Harusi |
| Swagga la Mama mwenye nyumba |
| Swagga la Baba Mwenyenyumba |
| Maharusi wakiwa na wasimamizi wao bestman na Matron |
Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye read more
|
| Kifamilia zaidi |
| Upendo kwa wazazi |
| Hapa huwa kiroho kinadunda. dakika chache kabla ya kuingia kanisani |
| Add caption |
| Pingu za maisha |
| wakatimwingine kutokana na pressure unaweza ukawa unatafuta mistari usiione lol @@@ |
| Jerry akisine mkataba wa kuishi pamoja milele |
| Kama kawa Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa Hekima Gardern |
| Nimekubali keki |
| Maharusi wakiingia ukumbini |
| Namuona Mwenyekiti wa kamati Benard Urasa. Safi sana |
| Kamati |
| Ndafu |
| Safi kijana. Sasa huu utamaduni unatakiwa uendele mpaka nyumbani. |
| Safi sana nimelikubali hili gauni. |
| The First Dance |
| safi |
| The Girls |
| Mwisho wa kunuku |
No comments:
Post a Comment