![]() |
| Hakika Festo na Adeline walitokelezea. Safi sana |
![]() |
| Nice |
![]() |
| Najua watu wanajiuliza hapa ni wapi?? Hapa ni kwa waze wa Porini. Jeshini. Unapiga picha bila kukanyaga majani kwanguvu lol @@@ Ole wako ujidai unaleta mbwembwe lazima unyeshe Majani |
![]() |
| Nice |
![]() |
| Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman & Matron |
![]() |
| Hakika Adeline alilitendea haki gauni lake la Harusi |
![]() |
| safi sana |
![]() |
| Best Man aka Chacha |
![]() |
| Safi |
![]() |
| Swaggaaaaaa |
![]() |
| Mzee Festo hapa furahi tu maana hi ni picha ya mwisho utakayopiga katika haya mazingira- yani kuzungukwa na warembo |
![]() |
| Safi |
![]() |
| Sii mchezo @@@ |
![]() |
| Dah mmetisha Safi sana kweli mlinitendea haki. |
![]() |
| B&W Photography |
![]() |
| Swagga la Baba Mwenye Nyumba |
Kwa Maswagga zaidi zama hapa Kwenye Read more
| Pingu |
| Duu Huu Ukumbi nimeukubali sana |
| Nimeikubali hi keki |
| Nikiwapa hi wadau |
| Maharusi wakiingia ukumbini |
| Mc Deusi Safi sana |
| Wanakamati |
| The First Dance |
| Nice |
| Nikaona sio mbaya kupata picha na Maharusi |
| Mwisho wa kunuku |


















































No comments:
Post a Comment