|
Pascal and Nancy hakika walipendeza sana |
|
Nice |
|
Dah nimelikubali hili gauni la Nancy. Safi sana |
|
Nilipenda hili swagga la kubadilisha nguo baada ya kutoka kanisani. |
|
Nancy akiwa anajianda @Maznat. Safi sana. Hakika Dada yangu Maznat alimtendea haki. |
|
Nice |
|
Swagga la 'I DO' |
|
Nice |
|
Matron wa Nancy |
|
Furaha baada ya kupendeza @ Maznat |
|
Nice |
|
Hakika Dada yangu Hellen-VX production aliutendea haki ukumbi wa Mlimani city kwa kuupamba. unaweza kuwasiliana nao kwa kupiga 0688000016 |
|
Nice |
|
Dah Nimeikubali hi keki. Ilikuwa tamu!!! |
|
Nimekubali hili swagga. Kila meza ilikuwa na wine and chupa ya Wiski ambayo ilikuwa inapicha ya maharusi. Safi sana. Nazani kwa wageni waalikwa hawata sahau hi harusi. Hope watu walifika majumbani kwao salama. |
Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read More