GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, April 9, 2014

The Wedding of Herry and Patriciah. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!

Hakika Herry and Patriciah  walitokelezea. 

 The Moment

Samahani wadau wa GRM nilipotea hewani kwa muda sasa nimerudi kwa kasi. Blog yetu ilikuwa imeja space na mimi sikutaka kufuta post za nyuma kwahiyo nimenunuwa new space kama 1T( GB 1000) . Mchakato mzima ulichukuwa muda kidogo lakini mambo yako super sasahivi.  Nitashusha mapicha na Video mpaka mnisame kwa kipindi hichi nilichokuwa kimya kwani kweli nimepost 9% ya kazi tulizofanya.


Nimekubali hili swagga


Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read MoreSwagga la 3D. hapa unakubali kuwa dunia ni mviringo


Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman and Matron


Swagga

Hakika Patriciah alilitendea haki gauni lake la HarusiThe GirlsSwagga. Kweli nilimkubali Particiah  sana kwa  kutake risk. Hapa gauni lingeanguka sijui ingekuwaje?.  Ila kweli bila kutake risk haupati kitu kizuri. Nimeikubali hi picha.

NiceHakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi

Nimeikubali hi keki. 

Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read more


Upendo kwa wazazi


Nice


Swagga
Mambo ya MilaMwisho wakunuku.