GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, April 11, 2014

The Wedding of Mugeta and Linda. Onja Kidogo chakula bado kilo jikoni!

Hakika Mugeta na Linda Walitokelezea. Safi sana.


NiceThe Moment
Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read More

The First Kiss

Swagga la kuchikuchi!Nice


The Boys. Hakika Wametokelezea. kama Kawa  naona mambo ya Buttonless kutoka kwa Martin Kadinda-Fashion Designer.

Nice
Mugeta akiwa na Bestman wake. Safi sana

Swagga la ruka juuThe Girls

Nice

Swagga la Dunia Mduwara


Nice


Swagga la baba Mwenye nyumba aka mjumbe wa Bunge la Katiba.


Swagga la mama mwenye nyumba

Nice
NiceNice

Jamani Mwisho wakunuku. Chakula bado kiko jikoni.