![]() |
| Kwa niaba ya GRM production na Familia yangu napenda kuchukuwa nafasi hii kuwashukuru kwa kutuamini na kutupa support. Bila nyie wadau tusinge endelea kusurvive. Aksante sana. |
![]() |
| Lee Super model Simon akiwapa salami za mwaka mpya. Dah yuko darasa la 4 sasa. Na mwaka hu mungu akipenda atafanya mtihani wataifa. |
![]() |
| Salamu za mwaka mpya kutoka kwa Lee super model Sasha. Bado yuko darasa la kwanza |
![]() |
| Hapa sijui nimefanana na yupi?? |
![]() |
| Salamu toka kwa Bibi yangu. Yani akionaga vituku anapona kabisa |
![]() |
| Swaggaaa |
![]() |
| Swagga na Kicheko pale Baba wa X-Mass anapokupa zawadi |
![]() |
| Sasa na masupermodel ni shule na swagga kidogooo |
![]() |
| Sasa ni kazi tuuu. Aksanteni wadau. |













No comments:
Post a Comment