GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, January 20, 2015

Lilian's Night. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri

Hakika Lilian alitokelezea. Safi sana

Nice Hakika Lilian umelitendea haki gauni lako. Safi sana.

Lilian akiwa na Matron wake. 

The Girls! Hakuna atakayebisha kuwa mlipendezaSwaggazzzzzThe Team

Lilian akiwa na mume wake mtarajiwa ingawa kwa sasa ni Mr and Mrs. Safi sana

Nice
 Kwa maswagga zaidi zama hapa kwenye Read moreBestman na Matron

Nice
Keki

Mc wa shuhuli.


Mwisho wa kunuku. Kwa niaba ya GRM production nawatakia maisha mema yenye furaha, amani na upendo. Lilian hilitabasamu lisiishe!!!