GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, January 20, 2015

Abella Night!. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri

Hakika Abella alipendeza sana. Nice

Nice

Dah hakuna atakayebisha kuwa Abella alilitendea haki gauni lake. 


Nice


Abella akiwa na Matron wake. Safi sana. Dah Nimependa hizi rangi.
Kama Kawa Glam madam Alimtendea haki Abella
SafiNimekubali hi kituu

Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa Stallion

Dah nimekubali hi keki


Safi sana. Engagement. Nimependa jinsi Abella na mume wake mtarajiwa-Ingawa kwa sasa ni Mr and Mrs -walivyo plan

Nice. Natafuta shati kama hilo sijui nitayapata wapi!. Kitu cha Kiafrica

 Kwa maswagga zaidi zama hapa kwenye Read more
Mwisho wakunuku