GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, May 12, 2015

Germana Night ! Onja kidogo chakula bado kiko jikoni

Hakika Germana alitokelezea. Safi sana


Swagga la 'Yes I Do'

Nice
Hakika Germana alilitendea haki gauni lake.
Nice
Germana akiwa na Matron wake. Safi sana

Nice


Kitu kutoka nyumbani-Tanzania. Safi sana


Swagga la kidigitali

Germana akiongea na mume wake mtarajiwa.


Nice. Ukipendeza lazima ujiaminiDuuu safi sana Swagga la Cheza na Gauni


Swagga la kucheza na viooo. Lol huwa nikazi maana hapa inabidi mpiga picha ukae sehemu ambapo hauta tokea kwenye picha


Dada wa Glam madam akimuuliza Geremana vipi hapo unaonaje, Nimekutendea haki ?

Duu kumbe na mimi nilitokea


Nice

Swagga la mama mwenye nyumba

Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read more


Mwisho wakunuku Chakula bado kiko jikoni