GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, May 27, 2015

Herieth Night Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!

Hakika Herieth alitokelezea. Safi sana


Nice

Herieth akiwa na Matron wake


Hakika herieth alilitendea haki gauni lake

Nice

Kama kawa Maznat Bridal care walimtendea haki Herieth

Swagga la Kudumisha mila. Safi sanaKwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye read more

Upendo kwa wazazi


Ndani ya Maznat Bridal careHakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa Mirado
Keki

Mc Luvanda akifanya yake

Keki
Herieth akimtambulisha Mume wake mtarajiwa ingawa kwa sasa ni Mr and Mrs


Dah kweli nimelipenda hilo rubega la kimasai. Sijui nitalipata wapi


Namuona Mume mtarajiwa wa Herieth akiwa makini kabisa kuhakikisha kuwa Herieth anamuwekea nyama za kutosha!


Ndafu

Mwisho wa kunuku