 |
Hakika Alex na Highmana walitokelezea. Safi sana |
 |
Nice |
 |
Hakika Highmana alilitendea haki gauni lake la Harusi |
 |
Swagga la Baba mwenye nyumba |
 |
Nikitowa swagga kidogo ndani ya Jiji la Dodoma |
 |
Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa LAPF Dodoma
Safi sana Mji wa Dodoma |
 |
Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman na Matron |
Kwa Maswagga zaidi Zama hapa kwenye Read more
 |
Upendo kwa wazazi |
 |
Kanisa la KKkT Dodoma |
 |
Keki |
 |
The First Dance |
 |
Lol nilikubali sana hii kuku ya kienyeji. DSM tunawekaga kuku wa kisasa kwenye harusi . Sasa tukiamia Dodoma sijui kuku wakienyeji watakwisha! |
 |
Mrisho wa kunuku |
No comments:
Post a Comment