GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, September 7, 2016

The Wedding of Mackie and Emiliana. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!
Hakika Mackie na Emiliana walipendeza sana.

NiceHakika Emiliana alilitendea haki gauni lake la Harusi
Swagga la Baba Mwenye Nyumba

Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read more


Upendo kwa wazazi

Safi sana Mzee wetu MC Mdachi


NiceMaharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman na MatronKanisa walilofungia pingu za maishaMackie akikabidhiwa Jiko. Safi sanaPingu za maisha

Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbiMc wa shuhuli.Safi sana.Maharusi wakiingia ukumbiniSafi sana.

Mwisho wa kunuku