GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, November 2, 2016

Pre Wedding Photography. Raymond & Claudia

 Location: GRM New Studio
                 Bestman Holiday-Bunju
 Photo     : GRM

Hakika Raymond & Claudia walitokelezea


Hakika hawa ni Soulmate kabisa. Na hongereni kwa kuwa Mr & Mrs
Ukitaka T-shirts kama hizi kwa ajili ya Pre wedding zinapatikana GRM Studio. Piga no +255 655 000 666
Nice


Kiangalia picha utajuwa kuwa Raymond na Claudia wanapendana sanaLoveYani kwakuwa Raymond na Claudia wanaipenda team ya Arsenal mapenzi yao yatadumu milele. Lol kwasababu Kuipenda Team yangu ya Arsenal inaitaji moyo mashine , kusamehe,na uvumilivu wa hali yajuu.@@@@ Mambo hayo yote yanaitajika kwenye Ndoa (Uvumilivu, moyo Mashine na kusamehe)
Kazi na Dawa. 

Mwisho wa kunuku