GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, November 11, 2016

The Wedding of Anthony and Beatrice. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri.Hakika Anthony na Beatrice walitokelezea


NiceHakika Beatrice alilitendea haki gauni leke

NiceSwagga la Baba mwenye nyumba
Safi

Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman na Matron

Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye read more
Kama Kawa Dada Maznat alimtendea haki Beatrice

Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi


Maharusi wakiingia ukumbini
Keki

Mwisho wa kunuku