GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, January 17, 2017

Happy New Year wadau wa GRM Production 2017


Dah likizo fupi imekwisha  tumerejea ofisini. Sasa ni Kazi tu
Salamu nyingi kutoka kwa Super Model wetu Sasha Makupa


Salamu Kutoka kwa Super Model Simon Makupa aka Meku
Kazi ipo. Sasha naye mbabe

My Ninja

Swagga la Kifamilia Season 2017 Episode 1
'Kiruuu' Pale unapo ombwa hela ya saloon January @@
Kwa niaba ya GRM Production na Familia yangu napenda kuwashukuru wadau kwa ushirikiano wote mlio tupa toka tumeanza. Naomba  tuendele kushirikiana tena 2017. Kama Kawaida mwaka mpya mambo mapya, vifaa vipya na Maswagga Mapya.