GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, January 19, 2017

Aziza Night. Onja Kidogo jinsi mambo yalivyojiri!

Hakika Aziza alitokelezea. Safi sana
Nice

Swagga la mama Mwenye nyumba







Hakika Naila alilitendea haki gauni lake


Dah nimekubali hili swagga la kudadilisha. Safi sana












Dah Nimekubali dada haki imetendeka






Aliza akiwa na Mchumba Ally wake ingawa kwa sasa Ni Mr & Mrs




 Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read more












Nails akiingia ukumbini





Nimekubali hii keki






Duu nimekubali hii






















Mwisho wa kunuku!

No comments:

Post a Comment