GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, September 8, 2017

The Wedding of Jackson & Shirley. Onja kidogo jinsi Mambo yalivyojiri!

Hakika Jackson na Shirley walitokelezea. Safi sana

Nice


Nimekubali hili SwaggaSafi @@@@

Swagga la baby utanipa password ya kadi yako ya ATM@@@

Swagga la 'Mimi ndio ninammiliki'

Nice


Nice

Jackson akiwa na Bestman wake Safi sanaMaharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman na Matron
Swagga la Mama Mwenye nyumba

Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye read moreUpendo kwa Wazazi

Upendo Kwa Mama


Safi sana Mheshimiwa Dr Fenella Mukangara. Alikuwa waziri wa Habari ,Vijana, Utamaduni na Michezo

Dada Cleo akitowa Swagga na Kaka yake ambaye ndio Bwana Harusi. Safi sana.

Nice


Kifamilia Zaidi

Bwana Harusi akijikubali saa chache kabla ya kwenda kufunga pingu za Maisha

Unyunyu kidogooooo

Duuu Mzee Unaswaggaaaa kama Diamond Platnum @@@
Kanisa walilofungia Pingu za maisha

Uncle Jack yuleeeeeeeeeeeeeeLol Nimempendelea kidogo Mama yangu mzazi Dr Lucy Mboma. Sasa ulinifundisha Marketing nilipokuwa na soma MBA-UDSM sasa na wewe na kufundisha Maswagga

Upendo kwa Dadazzzzzzzzz
Ukumbi -Lugalo Golf


Duu Nimekubali Keki
The Girls

Nice
Maharusi wakiingia ukumbini
Nice

Safi

Safiiiiiii@@@@

Dada akiwa Busy kuhakikisha mambo yana kwenda sawa

Mh Rais Msaafu Dr J.M. Kikwete akiwasili ukumbini

Nakumbuka wakati anawasili ukumbi ulilipuka kwa furaha


Safi
SelfieThe First Dance lol Safi sana


TwendeeeeeeeeMheshimiwa amekuwa mtaalamu wa Selfie safi sana


Naibu Spika  alikuweko pia. Safi sana Dr Tulia 


Safi sana uliturusha balaya tukazani tuko Element au 777Mc wa shuhuli  Evans BukukuSafi sana Dada Haika- Mbezi Gardern.

Nikitowa Swagga na Maharusi baada ya kumaliza kazi

Ni mambo ya Wireless. Wire hazikubaliki. Siunaona mpaka stage inapendeza sasa uje kuweka ma wire lol sio sawa. Inabidi kwanda na technology

Vijana wanafanya kazi kwa furaha bila kuangalia watu wasikanyage wire.

Mwisho wa kunuku