GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, September 7, 2017

The wedding of Bernard & Hulfat. Onja kidogo jinsi Mambo yalivyojiri!

Hakika Bernard na Hulfat walipendeza sana.


Nice
Kama Kawa Hulfat alilitendea haki gauni lake la Harusi


Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman na Matron
Safi


The Girls Bernard akiwa na Bestman wake. Safi sana


 Kwa Maswagga zaidi zama hapa Kwenye Read More

Kama Kawaida dada Maznat alimtendea haki Hulfat. Safi sana

Swagga la Kifamilia Zaidi

Swagga la Baba mwenye nyumbaTeam GRM -anaitwa Safi 


Next Harusi Loading @@@Pingu
Maharani wakiingia ukumbini


Mwisho wa kunuku