GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, September 11, 2017

Lily's Night. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!Hakika Lily alitokelezea. Safi sana


Nice
Hakika Lily alilitendea haki gauni lake la SendoffLily akiwa na Matron wake. Safi sanaKama Kawa dada Maznat alimtendea haki Lily.

Kwa Maswagga zaidi zama hapa Kwenye Read More


Upendo kwa FamiliaLily akiingia ukumbini


Nimeikubali hii kekiSafi sana. Msichana  kujiamini. Yani unakuta mtu anaogopa hata kufungua shampeni. Jiulize umeshawahi fungua shampeni@@@@ Unaweza ukanunua ukatest ukiwa chumbani jamani lol

Safi

Lily akimtambulisha mchumba wake ingawa kwa sasahivi ni Mr & Mrs
Lily akimpa zawadi. Safi sanaNimekubali hu msosi. I wish ingekuwa ni sasahivi  nasikia MC anasema  nendeni mkapakue chakula Ni nizawadi tu na Lily  alisha nunua Matofali.  KwahiyoWatu mnao 'Julikana' Msije mkamtafuta kuomba mkopo. 

Safi sana


Najiulizaga hili sanduku linatakiwa liwekwe vitu gani ndani. Mimi nakumbuka wakati nafunga pingu zamaisha niliweka the wedding dress' ya wife' 

Mwisho wa kunuku.