Event : Kilimanjaro Marathon
Location: Moshi
42 KM: 459
21 KM: 5332
5 KM: 5000
Photo by Gabriel Makupa
|
Kwa Kweli toka Kilimanjaro Marathon imeanza zaidi ya maka 10 iliyopita nilikuwa sijawahi kushiriki au kwenda dah kweli nimeamini ni bonge la event ambayo sio ya kukosa. Mwaka hu nilikimbia 'kimoyomoyo' but next year 3 March 2019 nitakuwa full naanza kujifua kuanzia sasahivi. Nitakimbia KM 42 |
|
Lol Mzuka ulinipanda |
|
Gadna naye alikuwa anakimbia kimoyomoyo |
|
Yani unakimbia ki swagga. Hapa mkimbiaji akipiga Selfie alikuwa bado hata hajamaliza kukimbia |
|
Dah hi niliyo beba sio kwa ajili ya kupuliza dawa. Ni kwa ajili ya kuwamwagia maji wakimbiaji wapoe |
|
Dah Jamaa anakimbia lol |
|
Kweli alini motivate. Safi sana |
|
Gadna akiwapa wakimbiaji maji. Thanks to Simba Cement |
|
Ukisikia joto unaoga Live. Thanks to Simba Cement |
Kwa maswagga zaidi zama hapa kwenye read more