![]() |
Swagga la kikazi zaidi. Tumekuja kivingine kabisa |
![]() |
Dah huu ni ukumbi wa Diamond jubilee ule mkubwa umepigwa Kipupwe aka Ac. Yani umefanyiwa ukarabati mkubwa sana. unaweza kuchukuwa watu zaidi ya 3000 kwa bei 'himilivu' |
![]() |
kijana akiwa makini kazini na kuenjoy mambo ya wireless |
![]() |
Hakuna utani kazini. Nilipotea hapa kwenye blog kidogo ila kwa sasa tumerudi kwa nguvu. |
![]() |
Control center. Mambo ya video mixing na ku stream live |
![]() |
LED TV 65 inc |
![]() |
Full HD |
![]() |
nikitoa maelekezo kabla ya kuanza kwa shuhuli |
![]() |
Kikosi kazi |
![]() |
Mwisho wa kunuku |
No comments:
Post a Comment