![]() |
Hakika Dr Andrew & Pamela walitokelezea. Safi sana |
![]() |
Nice |
![]() |
Harusi ilifungwa Moshi TPC. Dah nimekubali hii garden si mchezo. Chini ya mlima kilimanjaro |
![]() |
Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman & Matron |
![]() |
The Team |
![]() |
Kama Kawaida Pamela alilitendea haki gauni lake la harusi. Safi |
![]() |
The Girls |
![]() |
Nice |
![]() |
Simon & Sasha |
![]() |
Mama na Mwana. |
![]() |
Super Model Sasha Makupa |
![]() |
Swagga la kifamilia zaidi |
![]() |
Upendo kwa wazazi |
![]() |
The Family |
![]() |
Nice |
![]() |
Hi Benzi ni ya mwaka 1967- C200 bado inadunda. Kitu OG |
![]() |
Nice |
Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye read more
![]() |
Yani hapa Baba na Mama wa Bwana harusi ni ma Dr. na kaka wa bwana harusi na mdogo wake bwanaharusi nao pia ni ma Dr. Dr C Makupa, Dr I Makupa, Dr Andew Makupa & Dr William Makupa |
![]() |
Upendo kwa kaka |
![]() |
Dr Lucy Mboma |
![]() |
Nikaweka camera chini japo niwe kwenye kumbukumbu |
![]() |
simchezo hapa tulipoteza network. NImekubali huu ubunifu. Bar inatembea. |
Upendo kwa Kakakzzz wote ma Dr. |
Nice |
Mwisho wa kunuku |
No comments:
Post a Comment