Wedding : Lesatupa & Evelyne
Location : Gymkhana Club
Decor : Mario
Cake : Monica
Catering : Lucy
Photo : Grm Production
|
Hakika Mario aliutendea haki ukumbi wa Gymkhana -Uwanjani |
|
Dah nimekubali hili swagga. Keki inashuka kwenye hiyo craine. ukija haraka haraka ukumbini unaweza sema hakuna keki. kumbe iko juuuu @@@@ Mambo ya 2019 |
|
Dah hivi viti nimevikubali, Mambo ya 2019. Lol unaweza tamani kuiba kiti kimoja ukakiyeyushe ili update Gold @@@ |
|
Ukikutana na mpambaji mzuri haijalishi ni Mchana au usiku lazima ukumbi upendeze muda wote |
|
Mario Umetisha |
|
Mzigo mpya 2019 |
|
Nice |
|
Nice |
|
Keki simchezo. Kweli dada Monica uliitendea haki hii Keki |
|
Kitu ambacho nilijifunza kutoka kwako dada Monica na nikasema kweli wewe ni mtaalamu kwenye hii fani ni ulipokuja na Keki mbili. Yani mfano ikitokea tatizo keki ya Maharusi ikadondoka na etc ulikuwa na keki nyingine kama hiyo umeiweka backup. Maana hii mambo ya kuweka keki kwenye Craine ikitokea ajali ni Balaa @@@@. Safi sana |
|
Simchezo |
|
Safi sana Dada. Mtaalamu wa mambo ya chakula. Ulitisha dada Lucy |
|
Keki inatoka juuuu |
|
Mwisho wa kunuku- Mambo ni Moto@@@@
More Pix zitakuja Soon |