Venue: Cardinary Rugambwa
Makeup: i.m.a makeupstudio
Wedding Dress: davidsbridal
Photography: GRM Production
"Harusi ya Taifa"
|
Hakika Ackim & Shamira walitokelezea |
|
Nice. Nimependa hii maharusi wanavalishana Nguo 😆😆hii Inaonyehsa ushirikiano na Upendo |
|
Nice |
|
Kama Kawa Shamira alilitendea haki gauni lake la Harusi. Safi sana |
|
Nice |
|
The Kiss |
|
Zawadi kwa Simbaaa aka Diamond P |
|
Nikipata picha na Maharusi |
|
Safi |
|
Kama Kawaida Mpambaji aliutendea haki ukumbi |
|
Nice |
Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye read more