![]() |
Claudio na Adelina. Safi sana. Hakika mlipendeza sana |
![]() |
Nice |
![]() |
Hakika Claudio na Adelina wametendea haki pamba zao dah nimekubali |
![]() |
Maharusi wakiwa na wasimamizi wao. Bestman na Matron. |
![]() |
Safi sana |
![]() |
Adelina akiwa na Matron |
![]() |
Nice |
![]() |
Claudio aka mume wa Adelina. Safi sana Mkuu |
![]() |
Swagga la Baba Mwenyenyumba |
![]() |
The Girls. Safi sana hakika mlipendeza sana |
![]() |
The Boys |
![]() |
Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa Diamond J-Kubwa |
![]() |
Keki Safi sana |
![]() |
Kwakweli nimependa mpambaji alivyo utendea haki ukumbi basi namimi ikabidi nitende haki kunuku manzari kama ilivyo |
![]() |
Jamani mwisho wakunuku. GRM inawatakia Claudio na Adelina maisha mema yenye furaha, amani na Upendo |